About Bbc Swahili
Hii ni Idhaa yako na mtandao wako. Usisite kutoa maoni yako. website: www. bbcswahili.com
Reviews
Je, teknolojia inaweza kumsaidia binadamu kuishi milele? Tazama video hii.
Je, ni haki kuoa baada ya kifo cha mpenzi wako? https://bbc.in/2N0rUIV
Kati ya Ronaldo, Salah na Modric nani atakayetangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Fifa leo?
https://bbc.in/2xzVb8h
Okoth Obado: Mwanasiasa mkuu afikishwa mahakamani Kenya katika kesi ya mauaji ya mwanafunzi Sharon Otieno https://bbc.in/2xz24GL
Ni kwa nini inachukua muda kuitikia mikasa kama ya MV Nyerere? https://bbc.in/2MXSZw3
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 24.09.2018: Smalling, Gotze, Zidane, Neves, Hazard https://bbc.in/2xCnenv
Wamefungwa macho, wanalazimishwa kukaa chini na wanapigwa risasi mara 22 https://bbc.in/2xAme3k
Bao la mwisho la Mohamed lilikuwa dhidi ya Brighton wiki nne zilizopita. Kulikoni? https://bbc.in/2MVBpsN
Kama unataka kuboresha uwezo wa ubongo wako basi kuwa tayari kufanya mambo haya https://bbc.in/2xvi2BO
Je unajua ni miaka 51 tangu madini ya Tanzanite kuvumbuliwa duniani ? https://bbc.in/2xxVpfU
Hujambo na karibu katika Amka na BBC📻📻
Tanzania yaadhimisha miaka 51 ya madini ya Tanzanine https://www.bbc.com/swahili/habari
Hujambo? Karibu katika matangazo ya AMKA NA BBC, kwa muktasari tuliyonayo ni pamoja na
Gavana wa jimbo la Migori nchini Kenya Okoth Obado atafikishwa mahakama nchini Kenya hii leo kwa mashtaka ya mauji ya mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu cha Rongo, Sharon Atieno.
Jumla ya miili ya watu 224 imeopolewa na watu wengine 41 wakiokolewa wakiwa hai, kufuatia ajali ya ya kivuko cha MV Nyerere iliyotokea Alhamisi ya wiki iliyopita, ... Tayari maziko ya pamoja yamefanyika, huku serikali ya Tanzania ikisema itaunda tume ya uchunguzi itakayohusisha wataalamu na vyombo vya dola kuchunguza kwa kina chanzo cha ajali hiyo.
Zaidi ya watu 21 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa kwa mapanga usiku wa kuamkia leo katika wilaya ya RWENZORI tarafani BENI katika mkoa wa kivu kaskazini,mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Kwa mara ya kwanza Tanzania imeadhimisha miaka 51 tangu kuvumbuliwa kwa madini ya kipekee ulimwenguni, ya Tanzanite.
Uchunguzi juu ya mauaji ya wanawake na watoto katika maeneo ya Kaskazini mwa Cameroon umethibitisha kwa mara ya kwanza wapi, wakati na nani aliyewaua
AMKA NA BBC
See More
Mwezi mwekundu husababisha athari gani duniani? https://bbc.in/2xxaL4A
Kwa Picha: Tofauti bayana ya maisha ya maskini na matajiri yalivyo https://bbc.in/2xxcA1q
Matumizi ya Bangi: Kinywaji cha Coca-Cola kitakachokuwa na bangi kitalewesha? https://bbc.in/2xyfiUd
Maswali mengi yazuka kuhusu begi alilosafiri nalo Bobi Wine kurudi Uganda https://bbc.in/2xt4xTh
Jifunze njia nane muhimu za kuboresha uwezo wa ubongo wako https://bbc.in/2MWSl23
Rouhani anesema Marekani na mataifa ya Ghuba yaliunga mkono shambulizi Iran https://bbc.in/2xBm5MZ
i think bbc do the excellent job in news worldwide
The best ever
TIME TO SEE THE LIGHT IS NOW!!!
Don't lose this life opportunity.
Join �ILLUMINATI� and achieve
WEALTH, FAME AND POWERS
in just three days ,� ��
Remember you are human for a purpose therefore serve goodness and strive for the benefit of your species and you'll be rewarded for your stewardship
IF interested, WhatsApp HAIL to
� +1(850)6666938 � and be successful for the rest of your life . REMEMBER DISTANCE IS NOT A BARRIER !!!
���
Nice
Mimi kama kijana naipenda sana bbc zaidi sana nawakubali watangazaji na mnao twandkia kila kinacho endelea duniani mungu awabariki
Its agood media and it updates us that is what I think and ilove it
Is an amaizing mass media, you will always be in top
I got nothing to say bcz i got everything i need to knw with a spot.
Habari, natafuta kazi za madukani statonary, supermarket na mengine ya mfumo naishi dar elimu kidato cha nne no 0762367790 asanten
From my thinking is that BBC is the best media for getting the basic international info so we required to provide out big support to BBC sw , GOD plz impower BBC SW in order 2 provide good communication 2 citizens!!""#
BBC Swahili mnafanya kazi nzuri ya kukitangaza kiswahili na pia umakini nj mkubwa katika kuripoti habari
I like BBC
BBC swahili naipenda sana ,,mnatoa habar kwa wakat sahih,,mana radio na television za tazania wamenyimwa uhuru wa habar
BBC Mimi ni shabiki mkubwa.nawatakia watoto waliio kwama pangoni watoke salama
BBC IS MORE INFORMATIVE
Khali ni tete huku tanzania, kwa wakulima wa kahawa, kg1 maganda tz sh 1000, naizo mpk umalize wik kuipata, inavunja moyo sana, waruhusu waganda na makampun waingie tupate fedha, inaskitsha mtu amepeleka kahawa yake ghalan halafu anaenda dukan kukopa chumvi, nimwombe waziri huska aingilie kati tatzo hili tunaumia xana wakulima huku wilaya ya karagwe mkoa wa kagela.
It's okay, because it have intervals stimulation in the societies!
I take this chance to congratulate all BBC workers
BBc is the best channel have been listening from hand talk to their news,well they are the best if you want to know exactly what's hapning to the world, history and all listen to BBC. thanks BBc for your good work you are our best in all times